Karibu Alpha Hostels

Alpha ni “Hostel” za Kisasa zenye Kukidhi Mahitaji ya malazi kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma kwenye taasisi mbalimbali za Elimu nchini Tanzania.

Malazi

Malazi

Hapa Alpha Hostels utapata malazi salama kwa ajili yako au mwanao. Huduma yetu ya malazi inazingatia viwango vyote vya afya ya binadamu na sheria za nchi.

Chakula

Chakula

Ukiwa mteja wetu utapikiwa chakula kulingana na bajeti/mahitaji yako. Hivyo hautakuwa na haja ya kutafuta chakula nje ya hostels zetu. Vyakula vyetu vinazingatia usafi pamoja na uwiano wa ki afya (Balanced Diet).

Kujisomea

Kujisomea

Kwa vile dhumuni la kuishi kwenye Hostels za Alpha ni kujisomea, tumehakikisha mazingira yako ya kujisomea yanakidhi viwango vya kukufanya ufaulu masomo yako. Ukiwa peke yako hata kikundi, mazingira yatawafanya mfurahie masomo yenu.

Burudani

Burudani

Baada ya kichwa kuchoka kwa masomo utahitaji burudani. TV zetu na mifumo mingine ya burudani itakuwa liwazo na utulivu wa kuiandaa akili yako kwa ajili ya kupokea masomo yako kwa ufasaha.

Vyumba Vyetu

Shuhuda toka kwa Wateja wetu

Boniphace Sangu Mwanafunzi wa St. August 2016/18

Nilikutana na mazingira tulivu na yakuvutia kwa kusoma, ulinzi & usalama mkubwa, ukarimu, ukaribu kwa wamiliki, kupenda kujua changamoto zilizopo, na kuzikabili kwa wakati. Kila mwanzo na mwisho wa semester na sikukuu zote wenyeji huwa na desturi ya kushiriki pamoja kama familia ya Alpha hostel. Ahsanteni kwa huduma hii na Mungu awabariki.

Maganga Ngassa Former Ma. Ed P. & Admin JUCO Student

Alpha Hostels with well furnished rooms provide an ideal ambience to make residents feel at home. The scenic surrounding, calm and serene atmosphere provide comfortable and conducive environment for learning. Similar I appreciate Alpha Hostels management for facilitating me to finish my studies. Thank you!

Betty Kalungwana Mwanafunzi wa JUCO (2016/17)

Alpha Hostel ni hostel nzuri na ya kisasa, yenye mazingira rafiki kwa mwanafunzi ya kujisomea na huduma zote muhimu zinapatikana kwa bei nafuu kabisaa, sehemu ya kusomea, parking vyumba vizuri vya kulala ambavyo viko full kuanzia vitanda hadi makabati. Kwa bei nafuu inayoendana na uchumi wetu.