Chumba cha Mtu mmoja (1)

Tsh 900,000/= kwa mtu/mwaka

Chumba cha Mtu mmoja (1) Huduma Zilizopo:
Pamoja na huduma nyingine, pia kuna:
·         Mgahawa kwa ajili ya Huduma ya chakula
·         Huduma ya TV kwenye eneo la Mgahawa, na
·         Sehemu ya kujisomea.

JAZA FORM YA MAOMBI