Shuhuda toka kwa Wateja wetu

Boniphace Sangu Mwanafunzi wa St. August 2016/18

Nilikutana na mazingira tulivu na yakuvutia kwa kusoma, ulinzi & usalama mkubwa, ukarimu, ukaribu kwa wamiliki, kupenda kujua changamoto zilizopo, na kuzikabili kwa wakati. Kila mwanzo na mwisho wa semester na sikukuu zote wenyeji huwa na desturi ya kushiriki pamoja kama familia ya Alpha hostel. Ahsanteni kwa huduma hii na Mungu awabariki.

Maganga Ngassa Former Ma. Ed P. & Admin JUCO Student

Alpha Hostels with well furnished rooms provide an ideal ambience to make residents feel at home. The scenic surrounding, calm and serene atmosphere provide comfortable and conducive environment for learning. Similar I appreciate Alpha Hostels management for facilitating me to finish my studies. Thank you!

Betty Kalungwana Mwanafunzi wa JUCO (2016/17)

Alpha Hostel ni hostel nzuri na ya kisasa, yenye mazingira rafiki kwa mwanafunzi ya kujisomea na huduma zote muhimu zinapatikana kwa bei nafuu kabisaa, sehemu ya kusomea, parking vyumba vizuri vya kulala ambavyo viko full kuanzia vitanda hadi makabati. Kwa bei nafuu inayoendana na uchumi wetu.

Mussa Kiruwasha Mwanafunzi wa JUCO (2016/17)

Alpha Hostel ni hostel nzuri na ya kisasa kabisa na ya bei rahisi kabisa ambayo kwa mimi Mtoto wa Mkulima nimesoma elimu yangu ya chuo bila kutetereka.karibu sana Alpha hostel kwa huduma bora na rahisi,

Innocent Gustavol Former JUCO Student

Alpha Hostel is the most conducive place for academic or official arrangements when you are in Morogoro town. I enjoyed in my room for two years when pursuing my second degree (Ma.Ed-Planning & Administration) at JUCO. I felt proud to be there those good days because of safety, cleanliness and welcoming staff.